M mansoorsaid JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 1,498 Reaction score 286 Sep 17, 2014 #1 Naelekea morogoro nataka kuona mechi kati ya mtibwa na yanga nataka kununua tiketi kwa m pesa naomba nielimishwe unanunuaje mwenye kuelewa mfumo huo anieleweshe tafadhari.
Naelekea morogoro nataka kuona mechi kati ya mtibwa na yanga nataka kununua tiketi kwa m pesa naomba nielimishwe unanunuaje mwenye kuelewa mfumo huo anieleweshe tafadhari.