Tigopesa na mpesa

Joined
Aug 27, 2013
Posts
68
Reaction score
4
Nauza lain hizo nilizinunua muda huu sizihitaji tena ndo maana naziuza nipo dar na zote za dar,anayezihitaji anitafute kwa namba 0689626886
 
uwakala bado upo wa tigo pesa na mpesa(till na second sim)kwa zote mbili bei kianzio ni milion
 
Naombeni mnisaidie kwa hili jamani, hivi ukiwa wakala unapataje faida? Nipeni somo sifahamu na ningependa kujaribu hiyo biashara
 
Naombeni mnisaidie kwa hili jamani, hivi ukiwa wakala unapataje faida? Nipeni somo sifahamu na ningependa kujaribu hiyo biashara

kuweka pesa,kutoa pesa kuna kamisheni unapata kulingana na kiasi cha pesa,ukifanya mihamala mingi ndo unavyopata faida zaidi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…