TIGO uku ni kutesana sasa!!!!

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,647
Reaction score
6,481
Wadau wa mtandao wa TIGO hii imekaaje kifurushi cha tigo "saizi yako" MB za usiku kuanza kutumika saa 7usiku badala ya saa 5 usiku kama ilivyo kua kawaida? Huku si kuumizana na kutesana.
 
Saa saba usiku mpaka saa 11 alfajiri [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani wamelenga mulemule umejichokea zako unalala wao ndo wanataka uanze kutumia bundle lao


Bongo figisufigisu ni nyingi mnoo kila kona ujanja ujanja
 
Hahaha

Smart guy
 
Kama una mishe na watu wa nje sio mbaya,maana muda huo nchi zingine ni mchana huko waliko
 
Ndio maana unatambulika kama mtandao wa wanafunzi!
Kama una mawasiliano na walio nje muda huo si mbaya ukifanya mawasliano nao

NB : usigeuze usiku kuwa mchana, hahahaha
 
Hio yako umepewa hivyo kutokana na aina ya matumizi unayoyafanya maana mbona mimi yangu ipo kawaida tu ni 2500 kama nilivyoambatanisha hapa ila tatizo ni moja network ipo slow sana sinawahi kuona
 

Attachments

  • Screenshot_20190620-212240_Phone.jpg
    61 KB · Views: 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…