S sayicom Member Joined Jul 2, 2011 Posts 66 Reaction score 1 Sep 28, 2012 #1 PIGA SIMU BURE TUMA SMS BURE TUMIA INTERNET BURE KWA SH 3500 Hii kitu inaukweli wowote?
The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,172 Sep 28, 2012 #2 Watu washalizwa acha.uongo/utapel mtupu
S sayicom Member Joined Jul 2, 2011 Posts 66 Reaction score 1 Sep 28, 2012 Thread starter #3 Gaspery lasway said: Watu washalizwa acha.uongo/utapel mtupu Click to expand... nilikuwa nauliza sio kwamba natangaza watu wajiunge nilikuwa nahitaji kujua habari ya hii kitu
Gaspery lasway said: Watu washalizwa acha.uongo/utapel mtupu Click to expand... nilikuwa nauliza sio kwamba natangaza watu wajiunge nilikuwa nahitaji kujua habari ya hii kitu
Advicer JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 571 Reaction score 287 Sep 28, 2012 #4 Afu hata me nimeisikia mda mrefu sana bt y tigo hawareact?
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Sep 28, 2012 #5 Hiyo ni porojo za huyu anayejiita Shilole classic wa fb. Ni tapeli tu
Firewall JF-Expert Member Joined Aug 18, 2012 Posts 272 Reaction score 61 Sep 28, 2012 #6 Donn said: Hiyo ni porojo za huyu anayejiita Shilole classic wa fb. Ni tapeli tu Click to expand... Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2!
Donn said: Hiyo ni porojo za huyu anayejiita Shilole classic wa fb. Ni tapeli tu Click to expand... Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2!
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Sep 28, 2012 #7 Firewall said: Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2! Click to expand... nahisi ni mtu yule yule tu anatumia majina ya watu maarufu tu
Firewall said: Sio huyo tu, kuna mwingine anajiita salama jabir..! wazushi, wezi 2! Click to expand... nahisi ni mtu yule yule tu anatumia majina ya watu maarufu tu
Y Youngfool New Member Joined Jul 18, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Dec 30, 2012 #8 ni kweli.. mi nimejiunga ya mwaka mzima.....