M Mtoto wa mzungu New Member Joined Feb 8, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Apr 4, 2011 #1 Nifanye nn kuweza kununua bundle kwa tigo internet.? Nahitaji na bei ya bundle wadau.?
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,775 Reaction score 9,202 Apr 4, 2011 #2 tembelea ofisi zao
Hiphop Member Joined Jul 17, 2010 Posts 51 Reaction score 7 Apr 5, 2011 #3 Mimi huwa natumia bundle ya siku,wanakata sh 450,unatuma neno light day kwenda 15166,ila wanakupa access ya internet for two full days!
Mimi huwa natumia bundle ya siku,wanakata sh 450,unatuma neno light day kwenda 15166,ila wanakupa access ya internet for two full days!
Ng'azagala JF-Expert Member Joined Jun 7, 2008 Posts 1,288 Reaction score 222 Mar 15, 2012 #4 Hiphop said: Mimi huwa natumia bundle ya siku,wanakata sh 450,unatuma neno light day kwenda 15166,ila wanakupa access ya internet for two full days! Click to expand... mbona nimeomba siku moja na wanakata kila siku Tshs 450?
Hiphop said: Mimi huwa natumia bundle ya siku,wanakata sh 450,unatuma neno light day kwenda 15166,ila wanakupa access ya internet for two full days! Click to expand... mbona nimeomba siku moja na wanakata kila siku Tshs 450?
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Mar 15, 2012 #5 *148*01#
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,238 Reaction score 4,740 Mar 15, 2012 #6 Ng'azagala said: mbona nimeomba siku moja na wanakata kila siku Tshs 450? Click to expand... yap,kama unasalio wakwangua bila kutaka wewe mwenyewe,na muda wao ni saa 3 asubuhi.achana nao njoo zaitel unakula 400mb kwa full mwezi for 2500
Ng'azagala said: mbona nimeomba siku moja na wanakata kila siku Tshs 450? Click to expand... yap,kama unasalio wakwangua bila kutaka wewe mwenyewe,na muda wao ni saa 3 asubuhi.achana nao njoo zaitel unakula 400mb kwa full mwezi for 2500