Haya kwa wale fresh masters graduates inawahusu hii. Experience less than one year hawataki experience hawa uwezo wako tuu. Na kama una experience hata usijisumbue ku apply. They are looking for young future managers.
mkuu si umeshajua ni tiGO ndo wanataka watu? kwanini usiende kwenye website yao mkuu? Google tigo Tanzania itakufikisha, waswahili bhana, kupata kazi ni mapambano, pambana .... kua creative.
Hamna vimemo vovote! Sema mboga ndogo! Mi nawajau watu wamepata bila vimemo! Ngoja na mie mwakani nijitose kama itakuwepo! G.P.A yenyewe 1 sijui itakuwaje! Experience si naiondoa kwenye cv tu! Kwani deni?

Madam Lara... shikamoo, mambo, igweeee, zote izo pokea! Ombi langu kwako ni moja tu: nisaidie kutafuta kazi hapa mjini, vinginevyo nakimbia jiji. It seems wewe jiji hili unalo kiganjani, but kwa mwananchi wa kawaida kama mimi ambaye nilikuja mjini kwa lifti ya msafara wa mbio za mwenge... channel hazisomi. Ebu tupeni michongo nyie wakongwe wa mji. cheers...