Tigo acheni wizi!

hahaa TIGO HADITHI TENA !!?

daahh huo wizi uliokubuhu mnoo aisee
sasa umri huo ..wewe hadithi za nini mkuu..?
 
Tigo wezi hatari. Hata Mimi Nimeungwa kilazima. Dawa n Kuachana nae
 
Hizo hadithi zikoje? Wanakusimulia au wanakutumia kwa sms. Alafu wanazitoa wapi? Wao wananunua? Si wangewapa bure wateja wao kama kivutio?
 
Mi ndo najiunga kupitia tigo pesa staki usumbufu na mtu
 
Umejiunga mwenyewe bla kujijua. Nenda kwenye hyo App ya hadithi ujiondoe vinginevyo watakukata kila siku.
 
yani tigo sijui hawapendi simu yako iwe na salio .wanataka ujiunge tu apo apo unapoweka salio.ukichelewa tu inakula kwako wanakuunga kwenye huduma za ajabu ajabu.
 
Tigo wanatabia yakukopesha wakati ujakopa Salio niwahuniii snaaaaa
 
line yao imebaki ya kupokelea cm tu..siweki sentano kipande..nimehania 'ya kwako tu'
 
Trust me, wana tafuta hela ya kumlipa AY na mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…