hopetumaini
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 529
- 317
Mkuuu mtandao wa tigo mimi kwang nmeshawazoea nkiweka salio najiunga hapohapo sisubirNimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!
Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
Aisee mkuu, hawa TIGO ni wahuni sana, tena sana. Mimi pia nilikutana na tatizo hilo hilo wiki iliyopita na nilipowauliza wakanipa jibu kama hilo hilo walilokupatia wewe. Hawa jamaa wanaiba pesa za watu kwa nguvu. Mimi nafikiria wateja wote tuliofanyiwa uhuni huu, tuungane na kuwashataki hawa jamaa pale TCRA. Tukilalamika tu humu JF haitasaidia kitu kabisa.Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!
Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
Hao jamaa ndiyo zao. Wanapiga pesa sana kwa njia hii ya utapeli. Mm wameshanifanyia huo mchezo.Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana sijawahi jiunga na huduma kama hii, kweli me mtu mzima na majukumu yangu nisikilize HADITHI. Ni mambo ya kijinga sana haya!
Msaada kwa WANASHERIA namna ya kukomesha tabia hii ya kijinga sana.
Wamenikasirisha sana.
This is too much babakeTigo hata ukikwangua vocha ukasahau kuiweka kwenye cm baadae ukiingza washakata, belive me plz.
Cha ajabu wakishakata hiyo 150 ya hadithi nayo hadithi utumiwi ndiyo ujue kuwa ni wezi waliokubuhu.Hata halotel wanaujinga huo.
Mkuu mi nakushauri wasikilizishe tu watoto au wajukuu zako hizo hadithi, watafurahi sanaNimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.