Mbona kwangu haijazingua.
Asee Hongera Mm Saizi Ndio Nimeruhusiwa Kupiga SMS Hazitoki Yaani Mood Imekata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpenzi wangu tumekosana kiasi, niliongeza MBs kwa tigopesa nikarudishiwa muhamala
Tigo hata wanipe s11 plus ijayo na bando la miaka 10 bure siwezi kutumia mtandao wao.
Vumilia mkuu. Walikuwa wanaweka data sawa za mwaka 2019. Lkn walirud hewani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafaida gani kwenye kampuni, hizo jero jero unazoweka amaWanapoteza Wateja Mtu Anae Jielewa Hawezi VUMILIA ISSUE ZAO ZAAJABU KBS
Sent using Jamii Forums mobile app
Ttcl, Voda, Halotel sim card zao ninazo. Tigo siiachi kizembe hivi. Haya ni makosa ya kuvumilikaTigo hata wanipe s11 plus ijayo na bando la miaka 10 bure siwezi kutumia mtandao wao.