William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Wakuu wote JF heshima mbele sana ndugu zangu, mnasemaje kuhusu hiii? Imekaa sawa kwa wananchi wa Jimbo la Muleba?Heard through the grapevine: Anna Tibaijuka to run for parliament
During my recent visit to Muleba district in Kagera region I was informed that Dr. Anna Tibaijuka, the United Nations Under-Secretary-General at UN Habitat, will be contesting the Muleba South parliamentary seat in this year's general elections in October.She will join former Dar es Salaam special zone police commander Alfred Tibaigana to challenge incumbent Wilson Masilingi, who was the minister
Kuna mahali wamesema atagombea kupitia CCM?nahisi kuwa atakuwa amechukuwa uamuzi mzuri sana,
kwaalivyo mchapakazi naamini kuwa anajiandaa kutwaa Nafasi ya juu serikalini hasa kuwa Waziri Mkuu, baada ya miaka mitano kwenye Ubunge na Uwaziri wa nyumba na Ardhi.....
nasema hivi kwa sababu kule kwa Masilingi anaeweza kuwa mpizani wake wa kweli ndani ya CCM ni Mzee Tibaigana.
nasema hivyo kwa sababu Masilingi amechokwa.
ni mwanachama wa CCM, hilo na uhakika nalo, ingawa amekua na mivutano kadhaa na wanaCCM wenzake, ila nakumbuka yupo nao karibu sana.Kuna mahali wamesema atagombea kupitia CCM?
She should run for Presidency if has got resources.
She is better qualified than JK who if challenged, can easly fall apart.
pls site the source! humtendei wema aliye-break the news!- Wakuu wote JF heshima mbele sana ndugu zangu, mnasemaje kuhusu hiii? Imekaa sawa kwa wananchi wa Jimbo la Muleba?
Respect
Field Marshall Es!
wewe huyu mama yuko more competent than Migiro ukiangalia vizuri utaona she is the most sucessful woman at her capacity at the UN office! Just google her CV to see how much restructuring she has carried and how much money she managed to garner for improving habitats from the rich countries! How much awards she has won! No one has even done so from Africa may be Prof. Maathai! Forget about Migiro's who her nomination was more political and honouring the promises he gave, than merit, that resulted into serious credibility questions from people who thought and till today think of her credibility! even the media contested!Urais hapana mkuu acha aanzie ubunge kwanza.Huyu mama pamoja na usomi na uchapakazi wake lakini bado hajawa na mvuto kama wa mama Migiro.Au mkuu una mawazo ya ki Plato Plato??
Ukiniambia Migiro for presidency ill back it up hasa ikiwa ni 2015
pls site the source! humtendei wema aliye-break the news!
Urais hapana mkuu acha aanzie ubunge kwanza.Huyu mama pamoja na usomi na uchapakazi wake lakini bado hajawa na mvuto kama wa mama Migiro.Au mkuu una mawazo ya ki Plato Plato??
Ukiniambia Migiro for presidency ill back it up hasa ikiwa ni 2015
She should run for Presidency if has got resources.
She is better qualified than JK who if challenged, can easly fall apart.
- Mkuu vipi huyu anafaa kuwa Rais wetu are you serious au?Anna Tibaijuka – Her Replacement
There are things that happen once or twice in a lifetime. An African woman gets placed in a powerful decisionmaking post, and the UN staff protest an internal action albeit peacefully. Anna Kajumulo Tibaijuka is the first African woman elected by the UN General Assembly as Under-Secretary-General of a United Nations programme.In October 2006, she was appointed Director-General of the United Nations Offices in Nairobi (UNON), the only UN headquarters in Africa and the developing world.
As of March 3rd, she is no longer the director general of the UNON, yet she does retain her role as Exec. Director of Un Habitat.She was replaced by Achim Steiner, UNEP Exec Director as the Director General of UNON. His credentials in the UNEP network are outstanding, and he will be an asset to the UNON Directorship. Even as the appointment is billed as a routine shuffle by Sec. Gen Ban Ki Moon, what a message to send to women globally about their place in the UN. What of the role of empowering women. These are not light messages – Secretary they are very very loud and weighty.
Mama Tibaijuka yuko juu sana ikiwa atagombea ubunge wa Muleba nadhani utakuwa ndio mwisho wa Masilingi ambae sioni mchngo wake kwa taifa.Mama Tibaijuka anaweza kuja kumsaidia Muungwana hasa katika eneo la mipango miji ambayo iko hoi bin taabani,miji yetu mingi hasa inayokuwa kama Dar,Mwanza,Mbeya,Arusha,Tanga na Dodoma ina hatari ya kuzalisha makazi mabovu yasiyopimwa kama Manzese,Ungalimited na nk.
Watanzania tunawahitaji wabunge kama mama Tibaijuka ili tuweze kusonga mbele natamani ningekuwa mpiga kura wa Muleba hakika huyu mama ningempigia debe bila aibu yoyote.
Kwanini anataka kugombea?je ni kwaajili ya kuwa waziri au kwa lengo la kuwatetea wananchi?