Jaribu kutumia staili mbali mbali wakati wa kujamiiana, kwa vile uke wako ni mpana basi tumia staili ambazo zinabana uume wake kama spooning au cross legs missionary nk, wakati mwingine tumia misuli ya uke wako kumbana mumeo wakati anaingiza uume.
Suala la uke kuwa wa baridi lina utata, joto katika mwili husambazwa na damu je uke wako hauna damu?
Na nnajua wanawake weusi wanajoto sana, wewe unaposema ukewako hauna joto ckuelewi vzuri.