Habari, waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa tu Ila hapa naomba kupata mawazo tofauti na hilo juu ni kwa muda jino limekua likinisumbua nimeshatoa kadhaa na likitolewa hili jingine hufuata sasa naona meno yataisha. Na sasa naandika haya nikiwa katika maumivu makali naomba kujua dawa ya kunisaidia katika hili.
SNIV Rockstar