Wadau habari zenu mimi ni mwanamke tatizo langu nikila chakula chochote baada ya muda nacheua kila mara kile chakula nnachokula inanikera sana naomba kujua ni tatizo gani na tiba yake ni nini
Wadau habari zenu mimi ni mwanamke tatizo langu nikila chakula chochote baada ya muda nacheua kila mara kile chakula nnachokula inanikera sana naomba kujua ni tatizo gani na tiba yake ni nini
Kama ungekuwa uko online ningekupenda kujua kama tumbo huwa linajaa gesi na kama unavidonda vya tumbo,hata hivyo kucheua au kujamba ni njia ya kupunguza gesi tumboni,unachotakiwa kufanya ni kula chakula kidogo ili digestion ifanyike haraka na kwa urahisi zaidi na kuepusha gesi kujaa ambayo husababisha kucheua au kujamba.
Pia unaweza tumia matunda kama limao,machungwa yanayo speedup digestion,vinginevyo ukila na kujishughulisha na kazi zinasaidia kuliko kula na kukaa digestion inakwenda taratibu sana,kwa chakula cha jioni unaweza kula vyakula laini badala ya kukandamiza ugali,maharage nk.
Magnesium vidonge yaweza kukusaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.