Tiba sahihi juu ya maumivu ya tumbo chini ya kitovu

Ami B Msafir

Senior Member
Feb 23, 2015
100
33
Habari zenu wapendwa wa jf jaman hivi
Kwa yeyeto mwenye utaalamu na magonjwa ya tumbo msaada tafadhali tumbo linauma chin ya kitovu na ni katkat si kulia wa upande wa kushoto
 
Habari zenu wapendwa wa jf jaman hivi
Kwa yeyeto mwenye utaalamu na magonjwa ya tumbo msaada tafadhali tumbo linauma chin ya kitovu na ni katkat si kulia wa upande wa kushoto
Tiba yake hiyo mimi ninaijuwa nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Mkuu ungesema kwamba Kama wewe ni me au ke ili uweze kusaidiwa maana huenda matatizo yanatofautiana.
 
Kuna lile tumbo la hedhi ,na kawaida je wewe ni mwanammke au mwanaume
 
Back
Top Bottom