Tiba maumivu ya kiuno

Tiba maumivu ya kiuno

Kim Jackinho

Member
Joined
Dec 17, 2018
Posts
64
Reaction score
37
Habari wana JF.

Nilikuwa naomba msaada wa ushauri na tiba ya maumivu ya kiuno. Kama mwezi sasa napata maumivu ya kiuno ila sijajua chanzo chake nini.

Nakaribisha ushauri wenu,,Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom