Three ladies from Pakistan, Uganda and Zambia who are serving long sentences behind the bars after being convicted of drug trafficking are sharing experience of being jailed in a foreign land.
They come from different backgrounds and had gone to far lands like Peru,Turkey, China to try and earn money through drug trafficking.......
Huyo demu wa kiganda nimempenda bure. Ila dah; kifungo cha maisha too much jamani. Japo ingekuwa Indonesia au Saudia hawa wangenyongwa lakini hebu Serikali ya Kenya ifanye kitu kwa hawa watu. Inatia huzuni sana sana ...

kuna nyengine ya KTN niliona ilikua inasikitisha zaidi. mwanadada na mamake walipewa kifungo sababu ya kua na paspoti za kiongo wakiwa on transit hapo JKIA. sababu ya kua na paspoti za uongo wanasema iliwabidi wafanye hivyo kwani familia yao ya ki kristo ilikua inatishiwa kifo nchini mwao, walikua wanakimbia kwa nchi yoyote ya magharibi ambapo watakubalika. wanatoka Iran .... hio for me ili feel kama double injustice
Huyo demu wa kiganda nimempenda bure. Ila dah; kifungo cha maisha too much jamani. Japo ingekuwa Indonesia au Saudia hawa wangenyongwa lakini hebu Serikali ya Kenya ifanye kitu kwa hawa watu. Inatia huzuni sana sana ...
Hamna cha nini wala nini. Walikuwa wanasafirisha sumu ya kuwaua binadamu wenzao. Waingie na kutimiza jukumu zao kwa miaka walopewa kila mmoja.Mola akiwajalia watatoka kama wametubu dhambi zao na kubadilika.
Toka lini urembo wa mwanadada ikawa kigezo cha kumuondoa lawama???

Most of these senior ladies are vulnerable.Although their stories behind can't be made as an excuse to justify their crimes,it's clear that majority of them are manipulated.