MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Kapost tena!?Amber Rutty
Ndugu zangu Leo nimeamua nianzishe topic hum jf, hili jukwa limekua msaada mkubwa kwangu, nimejifunza mengi mno
Leo ningependa tuweze ku -Share Nyuzi unazo penda kukutana nazo, ambazo ukisoma hazikuchoshi
Kwa mfano Mimi binafsi nikionaga Thread inayo zungumzia maswala yanayo husiana na kwenda nje ya nchi lazima nitie nanga hapo
Je wewe ni uzi upi ulio wahi kukukonga moyo na ungependa uletwe hata kwa mara nyingine ila kwa taswira tofauti,
Yani unapenda kitu gani hapa kiwe endelevu. Najua mmenielewa
Karibuni kwenye himaya ya Kiha.
Bila shaka utakuwa damu na mr Zero IQMimi huwa navutiwa hasa na zile ' threads ' ambazo huongelea mno kama siyo sana masuala ya ' Mbunye ' na mwenzake ' Mkuyenge ' Mkuu.
Kiukweli nimefanikiwa kwa kiasi flan japo sio ki vileToka umeanza kufuatilia hizo nyuzi zinazohusiana na masuala ya kwenda nje ya nchi umefanikiwa kuondoka huko mkuu? usiishie kusoma tu hizo thd bila kuzifanyia kazi,
A dream doesn't become reality through magic,it takes sweat,determination and hard work.
Mimi huwa navutiwa hasa na zile ' threads ' ambazo huongelea mno kama siyo sana masuala ya ' Mbunye ' na mwenzake ' Mkuyenge ' Mkuu.
Ndiyo!Kapost tena!?
Una asili ya uzinzi wewe sio bure
Sawa mkuu, nimekubali nisikupinge sana maana nimeruhu povuBila huo ' Uzinzi ' Wewe leo ungeweza kuiona hii dunia ya Utekwaji, CCTV Cameras na Toyota SURF?
Ndiyo!
Sawa mkuu, nimekubali nisikupinge sana maana nimeruhu povu
Yapi?....Na chura iheshimiwe na watu wote,mimi nayajua matumizi sahihi ya chura na wala siyo hayo yaliyolaaniwa!!Mambo yako yale mkuu
Yapi?....Na chura iheshimiwe na watu wote,mimi nayajua matumizi sahihi ya chura na wala siyo hayo yaliyolaaniwa!!