Dah! Em mkumbuke na umuite yule unayedhani alikuwa mtoaji mzuri wa nyuzi na hivi sasa amepotea haonekani humu,iwe kwa wingi,yenye mafunzo,burudani,majungu n.k hasa MMU........., Binafsi nimemmis Mshinga na nyuzi zake nyiiingi bandika bandua mana server za MMU zilikuwa hazipumui afu hajali wala nini ili mradi ujumbe mumeupata,sijui yupo wapi?? Nakumbuka mara ya mwisho tulizinguana kule Elimuni haagh si akanihamishia hasira MMU weee!! Ilikuwa shiidaa!Ha ha ha ila tulimalizana kikubwa! Mshinga rudi bana wadau tumekumiss!!!............................haya tajeni na wenu........