Hivi vyura hapo tu Zahera anaongea kiswahili bado hamumuelewi, kila siku anasema Yanga ni timu dhaifu kwa Simba droo tu ni ya kubahatisha, sasa akiongea kifaransa itakuwaje. Au unazungumzia mashindano ya kuogelea kwenye majitope labda hayo mtachukua hata kombe la CAF.