Yap, kama mkataba unasema utapewa mil 10, hata ukidundwa hela yako inabakia ileile1. ni mchezo ambao wewemchezaji ukitegea unakufa tofaouti na football
2. ni mchezo ambao mashabiki wanaupenda lakini hawawezi kuucheza
3.ni mchezo ambao hata kama umedundwa umelowa damu vip utapata nusu ya zawadi ya mshindi.
Ni madawa yaliokatazwa, ingekuwa dawa za kuongeza nguvu angepelekwa mahakamani moja kwa mojaPambo la uzito wa juu lililopangwa kuwakutanisha bingwa wa Masumbwi duniani Antony Joshua 'AJ' na Jarrel Miller 'Big Baby' June1 limeahirishwa kutokana na Jarrel Miller kugundulika anatumia madawa ya kuongeza nguvu. Hata hivyo promoters wa pambano hilo hawako tayari kula hasara, wanalazimika kutafuta bondia mwingine atakayezichapa na AJ siku hiyohiyo, je atakuwa nani? Let's wait n' see.... View attachment 1076107