wewe ni mjinga mwenye mawazo ya kipumbavu!!!
Hebu angalia hoja hiyo...!Kweli ni ya kisasi,ila life is a circle...!We umeangalia na kufuata kile walichokutesa,ila haujasema hao watu ndiyo unawakomoa au unawakomoa akina nani kama siyo unajikomoa.Akili nzuri kwanza ungeeanza kuangalia walipo kwa sasa hao pamoja na maisha yao.Leo unatesa kwa sababu you were potentially to do so wala sio wao waliokushawishi, na hautaacha nakuambia...Ila andaa sasa kila kitu kwa UMASIKINI, hata wa mawazo,jela maana baadaye utaanza rushwa ili upate vya kuhonga,hivyo jiandae kwenda SELO,pia kutoogopa kupiga watu MIZINGA NJIANI, NA pia kwa ajili ya kwenda kule tusikokujua...!!!Kila mmoja anavuna anachokipanda...!!!...andaa na kaburi na mahitaji mengine muhimu kwenye msiba wako ndugu!
Samahani mkuu, sisi wengine hatujafika hizo zinazoitwa elimu za juu, ila ningeomba unisaidie hiyo kusoma Graduate ndio kozi hipi hiyo? maana hata mimi ni form four Graduate.Wadau,
Wakati nipo nasoma Graduate, mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.
Samahani mkuu, sisi wengine hatujafika hizo zinazoitwa elimu za juu, ila ningeomba unisaidie hiyo kusoma Graduate ndio kozi hipi hiyo? maana hata mimi ni form four Graduate.
Soma tena post yako #1 uliandika nini halafu uje hapa unijibu Graduate ndio kozi gani hiyo? halafu na wewe unajiita msomi!! ushuzi mtupu.Undergraduate = Bachelor/Advance Diploma/1st Degree
Wadau,
Wakati nipo nasoma Graduate, mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.
Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??
After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa Fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.
Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!
My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila Siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!
Eti wakati anasoma Graduate!! namuuliza ni kozi gani inaitwa Graduate anakimbia, hajui kama Std 7 pia ni Graduate.Duh! kweli sasa nimeamini kwamba (our) Tanzanian Schools produce Id.iot.s