Hizi simu i think n Original coz hadi leo yangu yafanyavkazi but chakushangaza jina la kampuni la simu haliendani na lile la TCRA cjui tatizo nn,au cjui zitafungiwa,i don't know. Ila kuna mmoja alimuuliza Mr.Jacob Urassa muasisi wa tHl akamwambia hazifungiwi.Let's wait to see , tutajua mbivu na mbichi