umeharibu umeharibu... leo mshikaji halali atakuwa kizimbani akijibu mashtakaOOOH thats so sweeet of you. THANK YOU!!!!!! i guess sijaingilia message ya mtu Erry84........wink
umeharibu umeharibu... leo mshikaji halali atakuwa kizimbani akijibu mashtaka
Aiseee serious au unatania??? Niifute fasta nisiharibu nyumba/mapenzi ya watu????
OOOH thats so sweeet of you. THANK YOU!!!!!! i guess sijaingilia message ya mtu Erry84........wink
JS wewe ndo uliiba moyo wa jamaa??
Sina hakika kama niliuiba moyo wake BHT
Hi Nyani Ngabu mambo!!!!!!!