Wakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa
CC; chief_mkwawa e2themizaNingaR
japo hapo sikutajwa lkn nafikiri naweza nitoe kamchango humu kuna mtu alli-attach kasoftware kanaitwa REMOVE WAT we tafuta uzi una jina kama lako suluhisho utapata