japo hapo sikutajwa lkn nafikiri naweza nitoe kamchango humu kuna mtu alli-attach kasoftware kanaitwa REMOVE WAT we tafuta uzi una jina kama lako suluhisho utapataWakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
Kama ulivyo elezwa hapo juu tafuta Windows 7 loader, pia jambo hili ikumbukwe na watu wote kua ni muhimu ku activate windows kabla ya kuanza kupata notifications kuepuka usumbufuWakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa
CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
remove WMGWakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
remove WMG au HII NDO NOMA ushindwe ni wewe 2,,,na kuwa mchoyo ukose kugonga like na ukose kuleta feedbackWakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya MziziMkavu ya rearm but imegoma pia, pliz msaada wakuu maana nimeanza kutishika coz background screen i,ekuwa nyeusi kabisa CC; chief_mkwawa e2themiza NingaR
sasa haya masihara mkuu​kumbe jf ni zaid ya google
sasa haya masihara mkuu
ndo nashangaa ndugu superimpressor anafananisha google na jfGoogle ni kichwa
download windows loader halafu fanta installation windows itakua activate. View attachment 87696