This africa

Hizi ndio picha wanazopeleka duniani ili Africa ionekane shida tupu while kila siku wanamiminika kuja kuvuna utajiri wetu, kumbafu zao!!!!
 
Mkuu ila hii ipo africa.....tunapaswa kusaidiana ili isifike huku!
 
Lazima tulaumiwe. Hivi sasa Ulaya na Marekani janga la ukame na njaa kwenye 'Horn of Africa' inaongelewa sana. Hakuna kiongozi yeyotewa Afrika anayesumbuliwa nalo hili. Na wala hawaoni aibu kwa sababu u-Matonya imekuwa kama hulka yetu.
 
Reactions: RR

Tunawangoja waje watusaidie kila kitu....ikija kwa ghadafi tunasema tusiingiliwe......
 
Katikati ya balaa kama hizi kuna wizi na ubaradhuli unaendelea kwa rasilimali za umma! Hii itadumu hadi lini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…