Tushindwe sisi tu, kazi ni kwetu.!
Waafrika sasa tumekombolewa kifikra
Tuuche mawazo mgando kaamini kwa 100%,sera maagizo miongozo na tabiri mbalimbali zinazotolewa na mashilika au mataifa makubwa na yenye nguvu duniani kuwa ndio last & only best solution inayoweza kuchukuliwa maeneo yote duniani.
Bali kuna njia zaidi ya moja pengine kuna njia bora zaidi kushinda hata zinazoainishwa na vyanzo vya kuaminika duniani.
Rest In Peace Hayati; John Pombe Joseph Magufuli.😭😭😭