Palestinians won't have a true state until they officially recognize Israel as a Jewish state, and the expected recognition by the UN General Assembly of Palestine as a nonmember state will only push Palestinian self-determination further off into the future, Prime Minister Benjamin Netanyahu warned on Thursday.
"The UN resolution will not change anything on the ground… It won't bring a Palestinian state closer to existence, but push it further away,...
Wataondoka tu hata America atakimbia tu mwisho kumsaidia, watake wasitake kama anavyo sema kiongozi wa Hezboullah; Israel hawaelewi lugha zaidi ya silaha-yani tusipoteze time ya kufanya nao peace.
Anaye omba peace ni yeye na propoganda za mmarekani, na kuna nchi za kiarabu ni vibaraka wa kimarekani ndo wanamsaidia, lakini time inakuja ataondoka tu yeye na viogozi vibaraka zake wa nchi za kiarabu :biggrin1:
Hizbulah, Hamas,Fatwa and the like are not a match to Israel, Even if they combine their force.
Wanabweka tu lakini hawana Meno, na hata kama wama meno basi hayawezi kung'ata.
Waoga kufa ni Hizbulla, hasa Nasrallah ni muoga mno ndio maana anaishi pangoni kama panya mwitu, na hathubutu kutumia mobile phones kwa sababu anajua kitamfika kilichomkuta Bin Laana Den.
Nashangaa kwanini Nasralla hajitokezi apambane kiume, kama kweli ana nguvu kama unavyodai. kama ana nguvu si ajitokeze kupambana? au anaogopa kufa? Kwani Mgao wa mabikira umeisha huko Akhera?