There is no power in the world that can disconnect the Jewish people from the land of Israel

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
92
F121129MA04-635x357.jpg

Palestinians won't have a true state until they officially recognize Israel as a Jewish state, and the expected recognition by the UN General Assembly of Palestine as a nonmember state will only push Palestinian self-determination further off into the future, Prime Minister Benjamin Netanyahu warned on Thursday.

"The UN resolution will not change anything on the ground… It won't bring a Palestinian state closer to existence, but push it further away,...

Read more about this story here
 
Habari ndiyo hiyo.

Those who dream about removing Jews from the land of Israel should think twice..
 
Wataondoka tu hata America atakimbia tu mwisho kumsaidia, watake wasitake kama anavyo sema kiongozi wa Hezboullah; Israel hawaelewi lugha zaidi ya silaha-yani tusipoteze time ya kufanya nao peace.

Anaye omba peace ni yeye na propoganda za mmarekani, na kuna nchi za kiarabu ni vibaraka wa kimarekani ndo wanamsaidia, lakini time inakuja ataondoka tu yeye na viogozi vibaraka zake wa nchi za kiarabu :biggrin1:
 
Habari ndiyo hiyo.

Those who dream about removing Jews from the land of Israel should think twice..

Habari imetulia na ni kweli kabisa. Kama Palestine watakataa kuikubali Israel, basi ndio kihama chao kimeanza. God bless Israel.
 
Kiama watakiona wao, afu hakuna watu waoga kufa kama Israel...Sababu wanajua wakifa ni watu wa motoni tu.

Last edited by a moderator:

Kwahiyo kwenu nyie, kufa ndio mnacho kipigania, what a pathetic living way of life. Sasa mbona mnalilia sana mnapo tangulizwa kwa Mnyaazi Mungu?
 
Kiama watakiona wao, afu hakuna watu waoga kufa kama Israel...Sababu wanajua wakifa ni watu wa motoni tu.

Hizbulah, Hamas,Fatwa and the like are not a match to Israel, Even if they combine their force.

Wanabweka tu lakini hawana Meno, na hata kama wama meno basi hayawezi kung'ata.

Waoga kufa ni Hizbulla, hasa Nasrallah ni muoga mno ndio maana anaishi pangoni kama panya mwitu, na hathubutu kutumia mobile phones kwa sababu anajua kitamfika kilichomkuta Bin Laana Den.

Nashangaa kwanini Nasralla hajitokezi apambane kiume, kama kweli ana nguvu kama unavyodai. kama ana nguvu si ajitokeze kupambana? au anaogopa kufa? Kwani Mgao wa mabikira umeisha huko Akhera?
 
This dude is always living in the bunker halafu anasema ataipiga Israel. Kweli ujinga ni mzigo
 
Last edited by a moderator:
Hizbulah, Hamas,Fatwa and the like are not a match to Israel, Even if they combine their force.

Wanabweka tu lakini hawana Meno, na hata kama wama meno basi hayawezi kung'ata.

Waoga kufa ni Hizbulla, hasa Nasrallah ni muoga mno ndio maana anaishi pangoni kama panya mwitu, na hathubutu kutumia mobile phones kwa sababu anajua kitamfika kilichomkuta Bin Laana Den.

Nashangaa kwanini Nasralla hajitokezi apambane kiume, kama kweli ana nguvu kama unavyodai. kama ana nguvu si ajitokeze kupambana? au anaogopa kufa? Kwani Mgao wa mabikira umeisha huko Akhera?

we unapenda mpaka unakuwa kama chizi nasrullah atoke apambane huyo neta paka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom