Jamani, is it me only au kuna wengine wenye complains kama zangu
Naona mitandao ya simu wananihujumu sana,coz nikieka credit and make few calls my balance run out within no time
Jamaa wanatunyonya sana
pole, me like ur name, karibu na Mwangata.
hahahaaaah beh!pole mwagito, hiyo ndiyo dark side ya technology