Duh!24. JAKAYA MRISHO KIKWETE of Tanzania an Eastern African Coutnry, he is spoiling the smell of religious biasness in the country providing leadership positions to his fellow close friends who are boldly alleged of being involved in grand mul corruption practices and he always hesitate of taking hard critical decisions fearing of distorting his friendship with people embezzling public properties.
Huna sababu ya kuipinga kama si mfuatiliaji wa siasa za Marekani, hizo nchi na hao iliowataja iliwa-groom yenyewe kwa malengo ya muda mrefu. Unamkumbuka Savimbi, Mabotu, Sadam, Mugabe wote hawa walikuwa wanapata support ya Marekani baada ya Marekani kupata/kutopata ilichokuwa inakitaka ikawageuka na kuwaita madikteta.Nakubaliana na hii list /hakuna cha siasa wala nini. Naweza kuthibitisha yaliyoandikwa kuhusu China, Ethiopia, Rwanda, Syria, Eritrea, Venezuela, Iran na Zimbabwe (tembeeni mjionee wenyewe-hands on)
24. JAKAYA MRISHO KIKWETE of Tanzania an Eastern African Coutnry, he is spoiling the smell of religious biasness in the country providing leadership positions to his fellow close friends who are boldly alleged of being involved in grand mul corruption practices and he always hesitate of taking hard critical decisions fearing of distorting his friendship with people embezzling public properties.
Hivi nani aliwapa Wamarekani jeuri ya kutuamulia dikteta ni nani? Wamesahau ndio waliotuwekea Mobutu pale Kinshasha wakimuua mzalendo Patrick Lumumba?
Hivi masheikh wa Middle East kama Saidi Arabia, Dubai na Kuwait siyo madikteta sugu? Na watawala wa nchi kama Haiti na Panama ambao wamepandikizwa na Marekani kwa manufaa yake je? Kwangu Robert Mugabe siyo Dikteta. Ameitikia hali ambayo ilipikwa na hao wanomuita dikteta. Matokeo yake hayakuwa mazuri kwa Wazimbambwe lakini kuna kila dalili kwamba anashinda. Vibaraka akina Zvingirai wameishaligundua hilo. Natamani kama viongozi wengi wa Afrika wangekuwa na 'guts' kama za Mugabe. Labda tusingekuwa tunaburuzwa kama ilivyo sasa.this list is politically biased.
Hivi masheikh wa Middle East kama Saidi Arabia, Dubai na Kuwait siyo madikteta sugu? Na watawala wa nchi kama Haiti na Panama ambao wamepandikizwa na Marekani kwa manufaa yake je? Kwangu Robert Mugabe siyo Dikteta. Ameitikia hali ambayo ilipikwa na hao wanomuita dikteta. Matokeo yake hayakuwa mazuri kwa Wazimbambwe lakini kuna kila dalili kwamba anashinda. Vibaraka akina Zvingirai wameishaligundua hilo. Natamani kama viongozi wengi wa Afrika wangekuwa na 'guts' kama za Mugabe. Labda tusingekuwa tunaburuzwa kama ilivyo sasa.
Hivi nani aliwapa Wamarekani jeuri ya kutuamulia dikteta ni nani? Wamesahau ndio waliotuwekea Mobutu pale Kinshasha wakimuua mzalendo Patrick Lumumba?