Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Tanganyika ya nyerere haimo mkuu???
hizi .za uzunguni, kiAfrica Tanzania ni nchi yenye furaha pia ! vigezo vyote tunavyo....
Really , why Tanzania is not there ..?
kweli lakini kwa africa botswana yaweza kuongoza
Yap haswa umepatia. Tatizo hapa ni kuamini kila asemalo mzungu. Ni sawa hali ya maisha ya Norway ni bora kuliko nchi nyingine nyingi, lakini hii pekee sio kigezo cha furaha. Waulize wanorwegian, na watakuambia!But can you relate with the rate of suicide? am sure in Norway, suicide is higher than Tanzania, and am asking myself, why should i commit suicide if am happy:becky::majani7:
Yap haswa umepatia. Tatizo hapa ni kuamini kila asemalo mzungu. Ni sawa hali ya maisha ya Norway ni bora kuliko nchi nyingine nyingi, lakini hii pekee sio kigezo cha furaha. Waulize wanorwegian, na watakuambia!
Licha ya kuishi kwenye matatizo, waafrica ni watu wenye furaha (kiujumla) kuliko wazungu.