The United States government has nothing to teach Tanzania regarding human rights

Shida Siasa za Africa na wanasiasa wake,pamoja na wanaojiita wanaharakati wapo kwaajili ya "maslahi binafsi" kwetu Tarime tunawaita "opportunists"
Watu wa Tarime wengi mna misimamo sahihi na isiyoyumba,I like you.You are not easily moved by stupid and selfish ends,hongereni sana.Tushitikiane tumtetee kiungozi wetu.
 
Haya ni mawazo ya kitumwa kabisa.Kwani Iran walifikaje hapo walipofika,si hatua.Nimesema kama wao wameweza na sisi tunaweza.Na ni kuhakikishe kwamba even if America imposes sanctions on us today,they can't cripple our economy.Tunajua kwa jinsi washenzi wale walivyo,they can indeed impose sanctions on us,kwa hiyo tumejiandaa.
After all kwa sasa hatuwategemei kihivyo,we have turned East and we are trying as much as we can to use our own resources in our development endevours.
 
Wewe ndiye mwenye kujitoa ufahamu unayejifanya huoni kwamba haki za kibinadamu zinakiukwa Tanzania.
Hata kama haki za binafamu zinakiukwa Tanzania lakini hawana moral authority ya kutuambia lolote kuhusu haki za binadamu.Kama wanajua haki za binadamu waanzie kwao.Charity starts at home.Waache double standards.
 
Hujui uchumi wa dunia unavyokwenda ndio sababu unapiga kelele. Vikwazo vya Marekani maana yake huwezi kutumia mfumo wa biashara wa duniani, yaani Bank zote zinazofanya kazi Tanzania haxiwezi kutama pesa popote pale duniani, hii maana yake ni kwamba hatuwezi kuuza chochote nje ya nchi, wala kununua chochote kutoka nje ya nchi yoyote ile duniani, katika hali hiyo Tanzania tunaweza kuishi hata kwa mwezi mmoja?. Karibu 80% ya bidhaa zote nchini zinatoka nje ya nchi.
 
The truth is the truth no matter who says it.., or if no one believes it..., A lie is a lie even if everyone believes it....
 
Hata kama haki za binafamu zinakiukwa Tanzania lakini hawana moral authority ya kutuambia lolote kuhusu haki za binadamu.Kama wanajua haki za binadamu waanzie kwao.Charity starts at home.Waache double standards.
Hivi nyie ni kina nani ? na mna moral authority ya kuwazungumzia wale ambao wanaona wanateswa katika nchi yao ? Kumbuka hii nchi ya wote... (minority na majority) sasa wewe hata kama ni majority kuwasemea minority, hio authority amekupa nani ?
 
Najua mkuu kwamba mifumo ya mnyama(Shetani) iliyotabiriwa kwenye kitabu cha Ufunuo 12:16-18 imeshawekwa na Marekani,na wewe mwenyewe umeiweka wazi!
16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
18 Hapo ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya
kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita,sita sitini na sita." Namba hii tayari inatumika na hata kwenye bar codes ipo.We know what is going on.Yes,America is implementing 100% the plans of the devil,so do we side with God(good) or Satan(America).No we will stand with good.

Tunajua we have difficult times ahead, but we won't succumb to American tyranny,bullying and hegemony.Mbona Iran wame survive.Kwa hiyo watuamrishe kama wake zao,pambafu,
waishie huko.Eti tufanye watakalo,hata wanaume kuoana na tukubali kuibiwa rasilimali zetu nk.nk.,wuwi,waishie huko.
 
4d4eygr3dttffycyxuygttttfgttxtyyyyxýfgzysgfgxugdtgfyytyxyyyyxyytshtyguxyxytxtgxuygzttýcgftttfdtyzyyxgýygxgxggygtfýyxzgyzyxyyctyyżty
 
4d4eygr3dttffycyxuygttttfgttxtyyyyxýfgzysgfgxugdtgfyytyxyyyyxyytshtyguxyxytxtgxuygzttýcgftttfdtyzyyxgýygxgxggygtfýyxzgyzyxyyctyyżty
An Alien angry because their slave the United States has been chastised?
 
Tunajua,and the government is doing its' best under the circumstances.
Unfortunately,wapo vibaraka wengi sana wanaotumia kila mbinu kuiyumbisha serikali na kuwakatimsha tamaa Watanzania katika kujiletea maendeleo yao.Hawa ni lazima wawe silenced.
Mkuu unajichanganya. Unaamini kuna watu wanatakiwa wawe silenced kwasababu wanatofautiana na serikali? Na unatumia kipimo gani kujua Fulani anatumika na mabeberu?
 
Anashangaza sana..
 
Anashangaza sana..
 
Anaongea vitu asivyovielewa..
 
Mkuu unajichanganya. Unaamini kuna watu wanatakiwa wawe silenced kwasababu wanatofautiana na serikali? Na unatumia kipimo gani kujua Fulani anatumika na mabeberu?
Kutofautiana katika mawazo is normal and natural.But when you are unneccesarily criticising to serve imperialist intentions for the sole purpose of misleading the public, inciting, instilling unneccesary fear and hate,that cannot be tolerrated by any goverment.Mkuu huhitaji PhD kujua kwamba this is malice and has no good intentions,it's common sense.
 
I'm afraid you haven't answered my question yet. I asked about the criteria you employ before deciding that someone is a puppet bent on wreaking havoc rather than a patriot serving in the best interests of the country..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…