The true size of Africa




The main thing ukiangalia map ni Scale. Soma Scale.


Jambo lengine ambalo linanikera ni Jina za kikwetu mbona tusirudishe jina la zamani la Lake Victoria, yaani "Nyanza" Mbona tunaliendeleza jina lakikoloni 'Victoria" Wakoloni walikuja miaka 160 hivi nyuma lakini mababu zetu waliliita hilo Bahari Nyanza kwa maelfu ya mamiaka. Inafaa kenya, Uganda, na Tanzania walibadilishe hilo jina kuwa Lk Nyanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…