The Struggle Continues: Chadema Vs CCM?

naona gamba limekomaa kweli

Kama kusema "hamezwi mtu hapa!". Chadema wanaweza kumaliza game kwa kubana sana kwa mdomo hadi mikono ikaachia shingo wakameza, au CCM wakakaba sana hadi ndege akaanguka!

Ila tusisahau wote wanaweza kupoteza vile vile, game droo!
 
CDM akikutanisha meno mchezo kwisha kwasababu hata chatu akisha kutanguliza tu labda itokee xternal support vinginevyo umekwisha

CCM imepasuka ishu ya mizigo,ishu ya idadi ya serikali na kambi za uraisi na haipo njia ya kuyaokoa makundi ya chama katika ishu hizi i.e usaliti & uhaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…