,,,huyu mama anatunarudisha nyuma alaf anaonekana anashawishika kirahisi sana mkurugenz wq takukuru ana sifa mbaya gani ?mbuge na uchapakazi wake wote uke,,,, watanzania tuna roho mbaya sana wengi naona wanafurah watu kuanguaka hata bila sbabu ya msngi yani wao wanafurahi tuu,,,,