Salanga, nimekupata ndugu yangu, pole sana na maumivu ya mguu, nitakutumia nakala iko ktk pdf, bila shaka utaweza kuprint au kusoma kwa pc au ipad, All the best.
habari wana jf .
Nahitaji msaada kujua gharama ( roughly ) za kuchapa kitabu . au sehemu gani mtu anaweza kwenda na kupata details zote kuhusu kuandaa kitabu na gharama zake.
asanteni sana
habari wana jf .
Nahitaji msaada kujua gharama ( roughly ) za kuchapa kitabu . au sehemu gani mtu anaweza kwenda na kupata details zote kuhusu kuandaa kitabu na gharama zake.
asanteni sana
Nimekupata mkuu, nashukuru kwa ushauri wako, kitabu kiko kidhungu ila katika blog najaribu kutoa tafsiri isiyo rasmi ili kufafanua topic ambayo inazungumzwa.