siyo afrika..kote tuKwa maisha ya Africa hiyo mbona ni kama tamaduni tu kwa mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja!!
Lakini kama unajua kidogo tuu cha kuombea maji ukisoma apo utaelewaBadilisha lugha mkuu,utapata wachangiaji wengi!!!!!
Haishangazi kupendwa/kutakwa na wanawake wengi...
Ila...
Itasikitisha sana kama ukiwa macho juu juu badala ya kutulia na mmoja...
Hakuna kigumu kama wasi wasi wa mapenzi, kwamba kila unapokaa unawaza sijui fulani atanikuta hapa au kuniona, ukiona simu tu unajua daa demu fulani keshaniona..
Hakuna raha na amani ya mapenzi kama ukitulia na mmoja.. Unaishi kwa uhuru na amani...
Cc: mahondaw

Ungekuwa unashuka hivi ata ukiulizwa plate tectonic theory ungekuwa na PhDWomen flake at very high rates
Most guys understand this. Have you ever started talking to a girl for a week or two and she totally seems to like you? Then out of nowhere she becomes cold or just stops talking to you. This is a very frequent occurrence and it’s very demoralizing. However, if you have multiple women you’re talking to it’s easy to just move on to the next one!
It gives you more power and options
When you have more choices, you have more power. If a girl is playing hard to get, you’re no longer a hostage to her games. You in return have more power over her since you can simply ditch her for a more mature woman who won’t play games. You can decide which girl is right for you!
Rejection isn’t as painful
Rejection sucks, but it also makes it less painful if you know you have other options. You don’t invest as much into one women instead you spread out your attention and desires.
It’s fun!
I would be lying if I said it’s not fun to have the attention of 3-6 other girls. It makes you feel very masculine and desired. Many men never experience this since they’re so focused on just one girl.
Women do it also
It would be foolish to think women only have their eyes on one guy. They always have backup options or at least have some in mind. It’s much easier for women to accomplish this also.
"Never stop learning because life never stop teaching"
Mmhhh...Haishangazi kupendwa/kutakwa na wanawake wengi...
Ila...
Itasikitisha sana kama ukiwa macho juu juu badala ya kutulia na mmoja...
Hakuna kigumu kama wasi wasi wa mapenzi, kwamba kila unapokaa unawaza sijui fulani atanikuta hapa au kuniona, ukiona simu tu unajua daa demu fulani keshaniona..
Hakuna raha na amani ya mapenzi kama ukitulia na mmoja.. Unaishi kwa uhuru na amani...
Cc: mahondaw
Nchi gani ya Africa haina hiyo tamadunisiyo afrika..kote tu