Wanatengeneza profit kiasi gani? Hivi kila nchi lazima iwe na ndege au ni for prestige purposes? Kama BA ilikuwa inayumba baada ya wafanyakazi kudai nyongeza ya mshahara kila kukicha -typical public corporations- kwa nini sisi tuone ni big deal kuwa na shirika la ndege...serikali haiwezi biashara; kikubwa ndege ziwepo regardless ni za nani....