The problem with stranger things

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,313
Reaction score
12,760
Hello ladies in Gentlemen, how are you doing well today? I want to talk about stranger things. It's a great movie to be honest but there's one problem. it's not well thought out. and there are many hairs in the soup which is hard for me to pick point just a few but let me mention one.
1.sloppyness of the CIA.
Kusema ukweli wale jamaa ni very incompetent.yani wamashindwa kutunza Siri Au kumanage damage Kwa aina yoyote. Hii inaomekana hata season 1, eleven ametoroka na season nzima yupo hapohapo mtaani Hawkins lakini wamashindwa kumuona.yani mpaka wanazidiwa akili na kina Steve na Dem wake. yani CIA Mpaka wanarekodiwa na teenagers wakiconfess kuhusu operation Yao??

I know,,,I know this is not a movie about intelligence and spies and everything. but still, a great movie should try to be accurate no matter what subject it's touching on. if you can't be accurate in any subject then don't talk about it in your movie
so yeah I think that's the biggest problem with stranger things. it's the intelligence, it's very poor.
 
sina yakusema maana ndio nataka niianze niliangalia one episode tu na sikumaliza
 
Siyo kweli.

Kwanza nikuulize umeangalia season zote?

Hii ni drama series ambayo ina genre ya Science Fiction, Horror, Mystery, siyo Action kusema kwamba inahitaji kuonesha upelelezi wa ndani. Haijabase huko.

Kwanza setting time yake ni mwaka 1980 mpaka 1986 ambako bado mambo ya UFO watu walikuwa wanaona kama myth, lakini nowdays siyo myth tena.

Story imebase kwa mtoto (Peter Ballard) aliyezaliwa na "Super Power" na ndiye Villain, ambaye alishindwa ku-fit kwenye society, aliwasumbua sana wazazi wake, aliwafanya wahamehame sana miji mbalimbali, mwishowe wakahamia Hawkins ambapo ndipo aliwaua wazazi wake kiajabu.

Alianza na kumuua mama yake, akafuatia dada yake, wakati anajiandaa kumuua baba yake akashindwa kucontrol nguvu zake akazirai. Alifanya hayo yote just by "Mind Power" bila yeyote kujua. Wakati wazazi waliamini hiyo nyumba iko "Haunted" kumbe siyo.

Kwa sababu enzi hizo jamii ilikuwa haiamini katika mambo ya super power basi wakamu-accuse baba ndiye muuaji na kumpa kifungo cha maisha, dogo baada ya kuzinduka akakabidhiwa kwa Dr. Martin Brenner ambaye aliweza kuzicontrol zile nguvu zake kwa kumuwekea "Chip" ya kumcontrol.

Huyu Dr. Martin Brenner alikuwa na kituo cha watoto wanaozaliwa na super powers. Kati ya watoto wengi, alifanikiwa kum-recruit mtoto mmoja wa kike ambaye ndiye main character, Eleven. Huyu alikuwa na nguvu kumshinda Peter Ballard.

Baada ya Peter kuona huyu dogo atamzuia kufanya mambo yake, akaamua kuwaua wote waliokuwepo kwenye kile kituo, aliyemshindwa ni huyu Eleven pekee ambaye kwenye pambano Eleven hakuweza kumuua Peter, bali ni kama alimtupa kwenye "Other Dimension" kutokana na "Energy Surge" ya power zao. Sasa hiyo energy surge ndiyo iliyosababisha kufunguka kwa mlango wa opposite dimension kwenye ile lab waliyokuwemo.

Baada ya hapo sasa ndiyo Peter akaanza kusumbua hapo Hawkins akitokea kwenye hiyo dimension aliyopo kwa kuja kama lidude lisiloeleweka, na akawa anawatumia viumbe wa ajabu wanaopatikana hiyo dimension.

Kwa kifupi ndiyo ivo, mambo ya police na upelelezi yameingizwa kujazilizia story tuu ila main theme ya series haijabase huko..
 
Kwa kifupi ndiyo ivo, mambo ya police na upelelezi yameingizwa kujazilizia story tuu ila main theme ya series haijabase huko..[/b][/color]

Ndio point yangu hii ....movie yoyote kali haikosei kitu hata kama itaongelea kitu nje ya theme yake.....Hawa jamaa wa Hawkins lab ni intelligence ya kiserikali kabisa...kwahyo kama waandishi waliamua kuwaweka kwenye movie ingepaswa at least wafanyiwe justice Hawa character.

Inshort nimeona hyo ilikuwa kama plothole
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…