The power of money!

duh!!! kwa kweli wacha tuzitafute tuu la sivyo tutaendelea kugegeda ng'ong'ozo
 
Hii maana yake ukiwa na hela make yako haizeeki inakuwa kijana zaidi na zaidi....... pesa inapendezesha muke. Hapo nimeona muke ya mengi tuu ingine sijui...
 
duh! kazi kweli kweli! sasa hao mababu....yeuwii...acha tu nitafute zangu wallahi! MWENYE ENZI MUNGU NIONGOZE milele yote
 
kwahiyo hao wamescore ngapi kwenye beauty scale yako?
klynn nampa 8...hao wengine 7 klynn nilishamuonaga akiwa amekata hair and she is beautiful. hao wengine never seen them with short hair hence 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…