Is back......?
Yeah he is back na tatizo la huyu firauni yeye anadili na marijali tu hana mpango na wanawake kwa nini asidili na Mashoga tu wanaopenda huo mchezo?
Du!cjui atafika hata huku tanga?
Siyo kweli ndugu yangu popobawa ni mashetani wenyewe na lengo lao kuu hapo ni kuwatia watu hofu ili wakimbilie kwa waganga wa kienyeji(ambao uwezo wao wanapata kw shetani huyohuyo) ili apate roho nyingi za kupeleka jehanam.Ni kweli mashetani wanauwezo wa kuwaingilia binadamu pia kama tunavyosikia jinni mahaba nk.Lakini kamwe dawa ya kuwazuia siyo nguruwe au kitimoto ni imani tu.Shetani haogopi nguruwe kwa wakristo ktk biblia Yesu alipokuwa anawatoa kwa mtoto aliyepagawa mashetani walimwomba Yesu wawaingie nguruwe na wakawaingia wale nguruwe.Je kama hawakuwaogopa nguruwe waliohai wataogopa viungo vya nguruwe,mafuta nk? Dawa sahihi ya kumaliza shetani ni kumtegemea Mungu wa kweli,kuacha dhambi kwa kuepuke mazingira yote ya dhambi,kuomba/kusali bila kuchoka!Mungu ana uwezo mkubwa kuliko shetani hivyo tumkimbilie tutapona!kumbe kiti moto ni dawa... basi nadhan hamnma tabu kabla hujalala paka mafuta ya kiti moto!!! dawa ishatolewa kazi ni kwenu!!!
Du waliomtengeneza wamshauri tu avae condom(protective sex) na atumie K-Y gelly maana haepukiki huyo kwa capabilities alizonazo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums