wanasiasa wengi hasa watawala wetu wanajua na kufukiri kuwa wako mahali walipo kwa nguvu zao wenyewe na kusahau kuwa muhimili wao ni watu. katka picha hii watu wakiondoka hapo basi huyo mwanasiasa anayetoa hutuba bila woga wowote atapotea milele na wala hawezi kuokoka kamwe.