Kosa kubwa sana walilolifanya OKC ni kuanza kizembe zembe game 2 na kuruhusu ku split 1-1 kwao. Wangeshinda game 2 walikuwa guaranteed kurudi OKC. Lakini wakazembea mno robo ya kwanza na kuruhusu kuachwa kwa nyuma. Ni kazi ngumu sana kurudi na ku-tie halafu uchukue lead.