Series ikihamia Miami 1-1 ndiyo mwisho wa OKC hasa ukizingatia wanavyoanza maana huko Miami wakiwa wana-trail ndo wasahau kabisa kushinda. Heat wata close out series at home.
Kabisa Mkuu hata kama OKC watafungwa leo, wameonyesha uwezo mkubwa sana wa kushinda ugenini hivyo naamini kabisa wanaweza kushinda mchezo mmoja kati ya mitatu itakayochezwa Miami na hivyo kurudi kwao kumalizia game 6 na 7