Naona unashangilia peke yako Humu ngoja nikupe Nguvu za kushangilia mabingwa japo Wenye wivu husema ubingwa wa ufisadi ila wao ufisadi wao sijui kioo wanachojitizama kimevunjika timu zengine?
Magoli ya Jamil Mchaulo Baloteli dk4 na Adam Omar Soba dk88 yametosha kuipa ushindi Azam Academy wa magoli 2-0 dhidi ya JWTZ Twalipo Academy na kutwaa ubingwa wa Rolling Stone 2014