Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
I hope it all goes well and democratically too. Clearly i' am appalled at the way things are being done in the orange party, especially with regard to elections.
Uchaguzi sasa umesimamishwa baada ya baadhi ya wagombea kuvunja meza na viti na kumwaga kura zote na kufanya fujo baada ya albino mmoja kutoridhika na upigaji kura.
Hali ya sintofahamu imeibuka hiv punde katika uwanja wa kasaran nchini Kenya ambapo wanachama wa ODM wanatarajia kuchagua viongoz wao wapya.Hali hiyo imeibuka baada ya kuwa tetesi kwamba kuna mamluki wanataka kuvuruga uchaguz ambapo majina yao hayapo kwenye rejista ya majina ya wanachama.Baada ya hali hiyo askari wa kutuliza ghasia waliingilia kati.