Subiri waje wakushambulieMpaka sasa silaha nyingi anazotumia Rissia kule Ukraine ni zile za miaka ya 90s na kurudi nyuma ikiwemo hiyo attack helicopter.
Hajaanza ku deploy haya madude hatarishi, urusi ana idadi kubwa sana ya soviet era weapons ambazo mpaka sasa ndiyo zinashambulia Ukraine.
Ikiwa tu hizo zimefanya hayo itakuwaje akianza kutumia hizi modern and 4th generation hypersonic weapons.
Urusi ana nguvu kubwa sana ya kijeshi na akiamua kumwaga mboga ulaya itaangamia.
Shida yao ni washabiki wasio na uelewa wowote. Mfano mpaka sasa vikwazo walivyoiwekea Russia vitaziumiza sana nchi za ulaya zenyewe. Mifumo mingi ya maisha ilitegemea pia Russia mfano, gesi na mafuta ( for fuel), pia na ngano.Subiri waje wakushambulie
Tatizo ni kama la Africa,the elite class has nothing to loose and has no interest about the welfare of the masses. Zelensky anadhani uwanja wa vita ni eno la comedy as usual , anawasikiliza NATO wanaompa silaha kwa mkopo. Time will tell, but he knows he fighting a war he can't win.Shida yao ni washabiki wasio na uelewa wowote. Mfano mpaka sasa vikwazo walivyoiwekea Russia vitaziumiza sana nchi za ulaya zenyewe. Mifumo mingi ya maisha ilitegemea pia Russia mfano, gesi na mafuta ( for fuel), pia na ngano.
Nchi za ulaya zimeiwekea Russia vikwazo kwa mihemko, madhara yako yataonekana si muda mrefu.
Kijeshi russia bado ni taifa lenye nguvu kubwa sana.
Pia Russia anajua kabisa kumpiga Ukraine kama anampiga mwingereza ni kosa kubwa kwake kwa sababu ya undugu na ushirika wao ambapo Ukraine kuna waRussia wengi sana, angetumia nguvu kubwa angeua watu wake. Angeingia NATO mmojawapo aone shughuli pevu. Marekani kafanya tathmini kaona kuingia vitani na Russia ni kuitoa kafara ulaya magharibiTatizo ni kama la Africa,the elite class has nothing to loose and has no interest about the welfare of the masses. Zelensky anadhani uwanja wa vita ni eno la comedy as usual , anawasikiliza NATO wanaompa silaha kwa mkopo. Time will tell, but he knows he fighting a war he can't win.
Na hiyo nchi itageuka magofu kama Syria, NATO hawana nia ya kuisadia Ukraine maana mpaka sasa tayari imeshapoteza udhibiti wa miji na maeneo muhimu ya kimkakati.Tatizo ni kama la Africa,the elite class has nothing to loose and has no interest about the welfare of the masses. Zelensky anadhani uwanja wa vita ni eno la comedy as usual , anawasikiliza NATO wanaompa silaha kwa mkopo. Time will tell, but he knows he fighting a war he can't win.
Urusi mbona itachapa pesa za USA DOLLAR NA € NA £ na kuzisambaza dunia nzima kwa kupitia black marketShida yao ni washabiki wasio na uelewa wowote. Mfano mpaka sasa vikwazo walivyoiwekea Russia vitaziumiza sana nchi za ulaya zenyewe. Mifumo mingi ya maisha ilitegemea pia Russia mfano, gesi na mafuta ( for fuel), pia na ngano.
Nchi za ulaya zimeiwekea Russia vikwazo kwa mihemko, madhara yako yataonekana si muda mrefu.
Kijeshi russia bado ni taifa lenye nguvu kubwa sana.
Huyo jamaa ni mpumbavu sana nchi yake inateketea na kugeuka magofu yeye anapiga kelele tu akidanganya na NATO pamoja na USATatizo ni kama la Africa,the elite class has nothing to loose and has no interest about the welfare of the masses. Zelensky anadhani uwanja wa vita ni eno la comedy as usual , anawasikiliza NATO wanaompa silaha kwa mkopo. Time will tell, but he knows he fighting a war he can't win.
Na upande wa NATO Wana madude zaidi ya hayo piaMpaka sasa silaha nyingi anazotumia Rissia kule Ukraine ni zile za miaka ya 90s na kurudi nyuma ikiwemo hiyo attack helicopter.
Hajaanza ku deploy haya madude hatarishi, urusi ana idadi kubwa sana ya soviet era weapons ambazo mpaka sasa ndiyo zinashambulia Ukraine.
Ikiwa tu hizo zimefanya hayo itakuwaje akianza kutumia hizi modern and 4th generation hypersonic weapons.
Urusi ana nguvu kubwa sana ya kijeshi na akiamua kumwaga mboga ulaya itaangamia.
Kama adui wake wa pua na mdomo anasumbuka siku ya 8 leo ndio kwanza kateka Mji mmoja,je huyo wa mbali atatumia miaka mingapi?Baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ,
Urusi iliamua kujenga jeshi ambalo linaweza kumteteketaza Adui popote alilipo kutokea Moscow.
Teh teh teh ndio mnavyojiliwaza baada ya kichapo mnachokipataMpaka sasa silaha nyingi anazotumia Rissia kule Ukraine ni zile za miaka ya 90s na kurudi nyuma ikiwemo hiyo attack helicopter.
Hajaanza ku deploy haya madude hatarishi, urusi ana idadi kubwa sana ya soviet era weapons ambazo mpaka sasa ndiyo zinashambulia Ukraine.
Ikiwa tu hizo zimefanya hayo itakuwaje akianza kutumia hizi modern and 4th generation hypersonic weapons.
Urusi ana nguvu kubwa sana ya kijeshi na akiamua kumwaga mboga ulaya itaangamia.
Russia has been accused of generating disorder in Ukraine for quite some time now, primarily as a result of their periodic strikes on the country. As a result, Russia has been asked to withdraw her forces from Ukraine in order for international peace to reign, but this has not proven to be successful, as the country has recently been assaulted and shows no signs of withdrawing its troops.
As a result, I'd like to show you some of the most advanced weapons that Russia has to offer in this post.
The Russian Federation is a powerful country with significant military might; in fact, according to sources, the country has the third highest defense budget in the world, with over 845,000 personnel and over 1399 combat aircraft. Although it is no longer regarded a superpower, it was previously so. A tremendous amount of change has occurred in the country, particularly after Vladimir Putin took over as president in 2012. Instead of relying on sheer force, the government made significant investments in technology. As a result, the most sophisticated weaponry that Russia possesses are listed below.
1. Bora Class guided Missile hovercraft.
2. The Pantsir S1.
3. A Virtually invisible submarine.
4. The Mig 35 multi role jet fighter.
5. The Buk 2 missile system.
6. The RS 24 Yars.
7. The Russian Concorde.
8. The T 90.
9. The Russian Mi 28 Havoc Attack Helicopter.
Putin's Killers: Meet Russia’s 5 Deadliest Military Weapons
Kubwa kivipi au unadhani urusi ni africa hata kiduku ana chapa pesa za hizo nchi kiwanda kipo chini ya ikulu ya kiduku pitia mitandaoni ,kama china inazarisha bidhaa feki za nchi za magharibi unashangaa kwa serikali kuchapa fedha za nchi nyingine kuiujumuPole yako,unadhani hiyo ni kazi rahisi kama kumnawa mikono mchepuko wako wa Buzz kwa Mpalange?
Acha umbea weweNa upande wa NATO Wana madude zaidi ya hayo pia