Hii mada ingekuwa kwenye lugha yetu ya taifa tungekuwa na pages 20 sasa hivi. Huyu mmarekani Paulo Sergio De Souz hajui kiswahili ndio maana hatuelewi tukimwambia anatuandikia kiingereza alitupeleka shule?!!Khaaaaaah!! RRONDO kuja unitafsirie na hivi nilivyochoka ndio naona kisukuma tu hapo.
Acheni ubaguzi.Kama siyo lugha yako basi siyo topic yako!
Yaani nimeishia kuumwa kichwa na kuelewa sijaelewa, huyu paulo bwana!!Hii mada ingekuwa kwenye lugha yetu ya taifa tungekuwa na pages 20 sasa hivi. Huyu mmarekani Paulo Sergio De Souz hajui kiswahili ndio maana hatuelewi tukimwambia anatuandikia kiingereza alitupeleka shule?!!
Acheni ubaguzi.
Aaah kumbe na wewe umebaguliwa?!!Mkuu mi mwenyewe nimemjibu hivyo kwa sababu yamenisibu, story naitaka ila kizungu hakipandi.
Do you intimidate men?Mpendwa umeanza tena viinglish.....
Ila no 6 mmmh kuna kijiukweli bana
madam mwenzangu huyu paulo anahisi alitupeleka intaneshino,???Khaaaaaah!! RRONDO kuja unitafsirie na hivi nilivyochoka ndio naona kisukuma tu hapo.
madam mwenzangu huyu paulo anahisi alitupeleka intaneshino,???Khaaaaaah!! RRONDO kuja unitafsirie na hivi nilivyochoka ndio naona kisukuma tu hapo.
Ndio hapo nimeshindwa kumshangaa, ikabidi nikumbuke tu kile kidumu changu na mfagio niliokuwa nabeba kila siku, na kile kitabu cha kiinglish std 3 cha familia ya mzee Juma, na wanae Baraka,Musa na Neema(sijui nimepetia)madam mwenzangu huyu paulo anahisi alitupeleka intaneshino,???
hahhhhh na mboleaNdio hapo nimeshindwa kumshangaa, ikabidi nikumbuke tu kile kidumu changu na mfagio niliokuwa nabeba kila siku, na kile kitabu cha kiinglish std 3 cha familia ya mzee Juma, na wanae Baraka,Musa na Neema(sijui nimepetia)
daah! counted already don't worry mkuu...Ok, yeah yeah, yes of course yeah....... But ok, yeah,, I am ok of course.
ha ha ha jamani. haijakataxwa kuchangia kwakiswahiliihopeHii mada ingekuwa kwenye lugha yetu ya taifa tungekuwa na pages 20 sasa hivi. Huyu mmarekani Paulo Sergio De Souz hajui kiswahili ndio maana hatuelewi tukimwambia anatuandikia kiingereza alitupeleka shule?!!