Buyern kweli watamuacha lewandowisky kama free agent ,kama kweli watamuacha free basi naamini vilabu vingi vitamtaka.,...!
Mkuu mfumo wa pep sidhani kama yupo tayari kuishi na natural striker ,Mimi naona media na fans ndio tunataka awe na natural striker lakin body language ya pep ni false 9 ....na pep always huwa haamini katika plan b yeye anaamini plan a ikifel ni kuboresha na sio kukimbilia plan b ,yeye ni kama kina Marcelo mpaka alitaka kuishusha Leeds united daraja kwani yeye haamini katika kubadili mbinu ...hivyo pep yeye anatafuta striker atakaye fit kucheza false 9 ....!
Pep anaamini katika talent na sio nguvu na form ya muda ,mtu kama gundogun ,bernado ,grealish aisee kwa haraka haraka kama unaakili ya kiwaki huwezi jua wanafanya Nini uwanjan na Mara nying takwimu haziwabebi lakin aisee hizo ni engine za city believe ...wanaosena grealish kaflop Mimi nawaona kama mamruki tu ....pep mwenyewe anakwambia kujua ubora wa mchezaji kwa kuangalia stats ni kuukosea mpira heshima ...!
Mwendo wa mbaura LAKIN uhakika wa kufika mdogomdogo....nawala HATURINGI4 point clear top of the table ....
Kabla hujaja kukomment hakikisha unanizidi point ....!
Kama wewe ni mwanume tufuate pale juu
Mbona umekuwa mnyonge ghafla hivyo[emoji28][emoji28]Sawa ...
Game na Liverpool mtatufunga goli nyingi ...
FT
Man city 0-20 Liverpool
SawaHii inaonesha kuwa arsenal anatoa draw na Liverpool ....! Keep watching
Chelsea hauwezi kumfunga man city tena!!Kwa msimu huu ulio bakiKipara ndo imeishia hapa make QF Ucl hii mara point 1 n lijamaa linavyopenda kufikiria ndo kazi imeanza kuwa mbya
Tena nakutaka ucl ni kuchakate tena
Chelsea vi man city
[emoji28][emoji28][emoji28]kubishana na mbwa kama hizi za Chelsea ni matumizi mabaya ya akili aisee[emoji28][emoji28][emoji28]Kipara ndo imeishia hapa make QF Ucl hii mara point 1 n lijamaa linavyopenda kufikiria ndo kazi imeanza kuwa mbya
Tena nakutaka ucl ni kuchakate tena
Chelsea vi man city
Ila bayern sio watu...wao yeyote aliyopo hapo chini wao wanamtaka na wako tayari kumkabili.Draw kesho ...View attachment 2153544
City yupo na southampton mkuu kwenye FA!Next
Vs saton....... FA
[emoji28][emoji28][emoji28]kubishana na mbwa kama hizi za Chelsea ni matumizi mabaya ya akili aisee[emoji28][emoji28][emoji28]
Usichokijua mkuu...za chini ya kapeti zinasema kutokana na hali ilivyo kule ukraine...NYIE SI NDO MNAMILIKIWA NA JASUSI WA KIRUSSIA BWANA. MOVICH...Nimepenyezewa kamati za roho mbaya zishakaa vikao tayari uko NATO na wameafikiana kwa pamoja upewe bayern, Over!Utakuja nakuomba kabisa kesho wanipange na ww
Hawala hana tongozo
Fixture chafu hii, lakini apo INATAKIWA HAO ATLETICO pep amalizane nao kwenye first leg pale etihad then ni kufocus zaidi kwa liver...akifanya hivyo UEFA tunapita na liver anatulizwa vyema tu pale etihad...kwa mfano: Atlet akipigwa goli 3 au 4 yule atletico kwa uchezaji wetu wa kuposses na yeye kupack bus muda wote sion akirudisha hizo goli hata tukienda kule kwao metropolitano..fixture ya kibabe ...WWWView attachment 2155685